Muosha Magari apatisha ajali gari lenye thamani zaidi ya Milioni 100. Akutwa anaruka sarakasi

Huwa awajifunzi elimu utolewa daily hao waosha magari ndio wachonga funguo usiache ufunguo uoshapo gari au lisubirie.
Gari la milioni 100 jet washer hata laki moja tu unapata na kuosha ni dakika 5 unajioshea mwenyewe
 
Insurable interest..
 
Kwanini umesema hivi?unadhani mwenye gari hiyo anashindwa kwa mwaka kulipa 980K au 1.2mill iwe ulinzi wake kwenye emergency kama hizi?

Then kama analipa hivi kwanini isiwe msaada kwake?
Bima watalipa kweli hapo?
 
Huyu dogo waende naye tu, kama vipi wafungulie faili milembe wajiridhishe kama kachizika kweli, wagharamie matibabu halafu arudi kulipa deni🀣
Hata akiuza figo hawezi lipa deni hilo.
Vingine unasamehee tu Ili kufungua baraka zingine zije.
Huwezi jua hilo gari lilipatikanaje pesa zake labda zinarudi zilipotoka.
 
Huwa awajifunzi elimu utolewa daily hao waosha magari ndio wachonga funguo usiache ufunguo uoshapo gari au lisubirie.
Gari la milioni 100 jet washer hata laki moja tu unapata na kuosha ni dakika 5 unajioshea mwenyewe
Hiyo gari huwez kuichongea funguo kirahisi mjomba labda upate muda wa kutosha na unaweza ukaichonga na ukaishia kufungua milango tu ukashindwa kuondoka na chuma
 
Mmiliki nae bahili Sana viboko vinamhusu,car wash za ndoo na dodoki unapeleka gari za chini ya milioni 10,
Kitu cha milioni 100 unapelekaje kuosha chini ya mwembe.
 
Alimpa funguo ili aendeshe au alimpa ili afungue na kuosha ndani?
Lengo la kumpa funguo ni ili aoshe ndani (nadhani). Lakini hawa vijana sometimes huwa wanasogeza magari wenyewe kupisha mengine hapo hapo car wash. Labda alinogewa akajikuta anaendesha
 
Vichaa vingine havina faida, kichaa kilitakiwa kimtume akimbie; mshaurini tu akimbie, Hana kichaa huyo anaitaji kupewa tu mawazo afanye nini!
 
da ile ya RC mara nayo ilijamba vibaya
 
Lengo la kumpa funguo ni ili aoshe ndani (nadhani). Lakini hawa vijana sometimes huwa wanasogeza magari wenyewe kupisha mengine hapo hapo car wash. Labda alinogewa akajikuta anaendesha
Sasa hiyo inatofauti gani na mwizi asiye na leseni kuiba gari na kwenda kupata nalo ajali? Kwamba bima wasilipe?!
 
Ukisikia mitihan dunian ndo kama hii Sasa Sasa muosha magari atatoa wap hela ya ford ranger million 120 jamaa inabidi asamehe tu maana hata akimfunga haisaidii bado.

NB:
Hata mimi ningejifanya kichaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kichaa wa kamba kabisa...maana hata mazungumzo sijui nayaanzia wapi...
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hili tatizo linatoksna na kujenga urafiki wa kupitiliza na waosha magari wengine hufikia wakitaka wapelekewe huko waliko baada ya kuosha, waoshaji wengine hukopi funguo za gari na kuchonga zao hivyo siku ukiondoka na ufunguo wako yeye anatumia wake.
 
Sasa hiyo inatofauti gani na mwizi asiye na leseni kuiba gari na kwenda kupata nalo ajali? Kwamba bima wasilipe?!
Hii incident in tofauti na wizi wa gari. Hii ni uzembe kabisa. Mwizi akiiba gari kisha akapata nayo ajali, bima wanalipa, ila sio hii ya kumuachia garo dogo wa car wash.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…