Muosha rungu live interview on johanah's show!

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
22,527
Reaction score
79,976
Habari za weekend wanaJF

Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....

Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
 
Naomba kujua kwanini umejiita muosha rungu
Awali ya yote niwapongeze wadada warembo wote Wa jf kwa ukarimu Na ucharming wao!
Pili niupingeze uongozi Wa jf kwa kunikubalia Ku host show zangu hapa
Nilijiita hili jina kutokana Na historia ya mwalimu wangu mmoja ambaye alikuwa akinitania"hausomi kazi kuosha rungu tu" basi nikalipenda sana

DJ sepetu
 
Kiufupi ulikuwa player?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…