Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
- Thread starter
- #21
Ni kitu gani kinakupa kero zaidi katika maisha yakoNikiwa jkt kamanda wetu tukikosea alikuwa akichagua watu wachache akiita kipangata basi mtaadhibiwa kinoma kuliko achukue group lote
Basi Mimi pia nimechagua tu Ku deal Na warembo!
DJ sepetu