Ni kitu gani kinakupa kero zaidi katika maisha yakoNikiwa jkt kamanda wetu tukikosea alikuwa akichagua watu wachache akiita kipangata basi mtaadhibiwa kinoma kuliko achukue group lote
Basi Mimi pia nimechagua tu Ku deal Na warembo!
DJ sepetu
Hakuna kitu sipendi joanah kama umbea nachukia sana kufuatiliwa ka mkia!Ni kitu gani kinakupa kero zaidi katika maisha yako
Nimependa nilipopigia mstari,umekuwa mkweliHakuna kitu sipendi joanah kama umbea nachukia sana kufuatiliwa ka mkia!
Ingawa napenda kufuatilia wengine[emoji12]
DJ sepetu
Wengine wakiwa Na kitanda sufuria kijiko bakuli anaona tayari!Hhahahahhhh
Unahisi ni kipi kigezo kikubwa cha mwanaume kujiona amekuwa tayari kuingia katika ndoa?
Tokea mtoto nilikuwa mkuda sana kusemelea wenzangu!Nimependa nilipopigia mstari,umekuwa mkweli
Kufatilia mambo ya wengine ni tabia zetu sana sana sisi wa kike,ni kitu gani kimekufanya uwe hivyo ulivyo?
Najiona nikiwa DJ mkubwa zaidi nikiwa Na kampuni kubwa ya burudaniUnajiona wapi miaka mitano ijayo?(kiuchumi)
Jomoniiiiii....kumbe dogo!25
DJ sepetu
No am renting Na nyumba yangu iko finishing stagesBado unaishi kwenu?(kuwa mkweli)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] what goes around comes aroundThanks my pressure!
DJ sepetu
Bongo fleva rnb dance hall hiphop etcWoow!unapenda mziki
Unapendelea mziki wa aina gani?