Muosha rungu live interview on johanah's show!

Muosha rungu live interview on johanah's show!

Vitabu vya aina gani unavipendelea?

Hizo XXX unaangalia ukiwa na huyo mpenzi muarabu ama peke yako?
Baada ya kumaliza kuangalia unafanya nini?

Wewe ni shabiki wa team gani ya mpira hapa TZ na nje?
Nikiwa peke yangu Na sitaki aangalie XXX kabisa huwa nakuwa mbogo[emoji12] [emoji12]
Nikimaliza naweza nika masturbate kamoja ka usingizi[emoji12] [emoji23] [emoji23]
Zamani nilikuwa naipenda simba ila nikaamua kuachana stress zisizo Na faida!

DJ sepetu
 
Tattoo ya wema sepetu?duh!
Seriously unampendea nini huyu?(usinambie ni tabia zake)
Nilipokuwa mtoto nabalehe nilikuwa nanunua magazeti ya udaku nakata Picha za wema nabandika ghetto aisee zilijaaa kuta zote nne
Hadi kwenye daftari za shule jalada zote wema ndipo wanafunzi wakaanza kuniita DJ sepetu!! Nilikuwa host sana ktk schools events

Nimekuwa hivyo hadi leo

DJ sepetu
 
Habari za weekend wanaJF

Hatimaye leo tupo na mkuu/handsome wetu muosha rungu ambaye wengi tunamfahamu kwa ufanisi wake wa kutufanyia interview hususani sisi wanawake,nadhani baadhi yetu pia tunatamani kufahamu machache kumuhusu....

Kwa niaba ya wanawake naomba kumuhost
Dah Leo kwel umemshika kunako ,patam apo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikiwa peke yangu Na sitaki aangalie XXX kabisa huwa nakuwa mbogo[emoji12] [emoji12]
Nikimaliza naweza nika masturbate kamoja ka usingizi[emoji12] [emoji23] [emoji23]
Zamani nilikuwa naipenda simba ila nikaamua kuachana stress zisizo Na faida!

DJ sepetu
Simba ni stress?hahahhhahh aya bhana
Nje team ipi unaipenda sasa ama ndo uliachana na mpira kabisa?

Kwa upande wako hujawahi kuona madhara ya kufanya hivyo?
 
Simba ni stress?hahahhhahh aya bhana
Nje team ipi unaipenda sasa ama ndo uliachana na mpira kabisa?

Kwa upande wako hujawahi kuona madhara ya kufanya hivyo?
Naikubali real Madrid
Mpira nadhani una profit ikiwa mtu anaamua kuwa fan for a reason you can turn your talent into money! Of course

DJ sepetu
 
Nilipokuwa mtoto nabalehe nilikuwa nanunua magazeti ya udaku nakata Picha za wema nabandika ghetto aisee zilijaaa kuta zote nne
Hadi kwenye daftari za shule jalada zote wema ndipo wanafunzi wakaanza kuniita DJ sepetu!! Nilikuwa host sana ktk schools events

Nimekuwa hivyo hadi leo

DJ sepetu
Anakuinspire kwa namna fulani ama ni urembo wake unaodai anao ndio unakufanya umkubali sana?

Au sababu wewe na yeye ni team waosha marungu?(natania)
 
Anakuinspire kwa namna fulani ama ni urembo wake unaodai anao ndio unakufanya umkubali sana?

Au sababu wewe na yeye ni team waosha marungu?(natania)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] sio urembo wake tu of course uzuri wake ndio ulinivuta first time lakini baada hustlers zake Na namna alivyoweza kugeuza umaarufu wake kuwa biashara ndipo aliponiua kabisa!
Niambie miss Tanzania yupi aliye hit kama wema of course Na mwenye mafanikio
Don't be bias!

DJ sepetu
 
Naikubali real Madrid
Mpira nadhani una profit ikiwa mtu anaamua kuwa fan for a reason you can turn your talent into money! Of course

DJ sepetu
Uwezo wako darasani ulikuwaje?
Ulishawahi kupata 0 katika maisha yako ya shule?
Somo unalolimudu sana ni lipi?

Kipi unatushauri sisi wadogo zako ambao bado tupo/wapo katika issues za kusoma?
 
Back
Top Bottom