Kufanya uovu na kisha uovu ufanikiwe, ni lazima mwovu awe na akili yaani awe mwovu mwerevu. Ukiwa mwovu punguani, hakika hakuna uovu utakaoufanya ambao wenye akili hawataweza kuubaini.
Fikiria Mbowe kushindwa kufikishwa mahakamani, eti gari la kumpeleka mahakamani ni bovu! Na mama naye anaona ana watu makini wa kulinda uovu.
Ebu Fikiria Sabaya kuvamia maduka na hoteli za watu huku video camera zikimchukua picha, na utetezi wake ni kuwa aliagizwa toka juu kufanya uovu!! Mwenyewe anaona kwa utetezi huo, tayari ameshinda kesi.
Ebu Fikiria Musiba kumtukana kila aliyetaka kumtukana, na kudai kwamba hakuna hakimu wala jaji wa kumtia hatiani, labda Magufuli awe amekufa!