Mupenzi Wa Moyo....

Mupenzi Wa Moyo....

Mr confidencial wewe una elimu gani? na inajulikana wazi kua penzi la dhati kipimo chake ni muda na rabsha za panda shuka za maisha...je uko tayari kupata wa majaribio? There in after tungependa uweke wazi mahusiano yako ya awali na itikadi zako mbali mbali ili mabinti zetu wajaribu bahati zao!
 
kweli kijana
 
Mr Ombeni mimi ni kijana wa makamo ya baba R wa magogoni, nimemtoroka bibi yako chumbani huko uzee unanijia vibaya, piston hasifanyi tena kazi!
 
kweli kijana

okay! Elimu yangu ni Graduate frm Udom 2011 kwny Masomo ya Elimu katika saikolojia, ni mkufunz kwny chuo cha Ualim, Mkristo, cjawahi kuoa na wala cna mtt, in short bt vry detailed
 
kila lakheri mshirikishe Mungu wako akupe wakufanana naye.
 
Back
Top Bottom