mupo poa wana jf????????

mupo poa wana jf????????

Joined
Apr 8, 2012
Posts
29
Reaction score
0
nahitaji marafiki wa kushare mawazo nao lakini sijui namna ya ku add friend kwa yoyote anaefahamu anijuze ahsateni
 
Karibu kwanza uzoee mazingira, hayo utayajua taratibu.
 
nashukuru kwa mashirikiano yenu na tutakuwa pa1 mungu akipenda hahahaha delako c umu kwa wengine ila litakuwa gumu kwako kama ulivyosema
 
Back
Top Bottom