Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni

Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, muqawama utaanzisha duru mpya ya mapigano na mashambulizi ya roketi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu iwapo utawala huo hautafungua vivuko vya Ukanda wa Ghaza.

Abu Muhammad Msemaji wa Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa amesisitiza kuwa, utawala ghasibu wa Israel hauwezi kuendelea kuvifunga vivuko vya Ukanda wa Ghaza na kwamba utagharamika pakubwa kwa hatua yake hiyo.

Msemaji wa Brigedi ya al Aqsa ametahadharisha kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni utaishambulia Ghaza, miji ya kizayuni pia itakabiliwa na mashambulizi ya roketi kutoka kwa wanamapambano wa Brigedi ya al Aqsa na makundi mengine ya muqawama.

Abu Muhammad ameeleza kuwa, makundi ya muqawama yamemtumia ujumbe adui Mzayuni kupitia kwa wapatanishi na yanasubiri jibu ili kubeba silaha wakati wowote. Wanamuqawama wa brigedia za mashahidi wa al Aqsa

Tor Wennesland Mratibu wa Amani wa Umoja wa Mataifa katika Mashariki ya Kati jana aliwasili Ghaza kwa lengo la kufuatilia baadhi ya mambo na mafaili ya mashambulizi yaliyofanywa na Israel dhidi ya eneo hilo, suala la kufungwa vivuko vya Ghaza na kuimarishwa usitishaji vita kati ya makundi ya muqawama ya Palestina na utawala wa Kizayuni. Akiwa Ghaza, Wennesland amefanya mazungumzo na Yahya al Sinwar Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas.

Tags
 
Acha kuota wewe [emoji23][emoji23]
 
Wanawaanza wenyewe wakianza kupata mkongoto wanaleta mambo ya kidini
 
Muqawama wa Palestina wamtahadharisha tena adui Mzayuni

Jun 22, 2021 08:17 UTC

[https://media]

Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa imeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa, muqawama utaanzisha duru mpya ya mapigano na mashambulizi ya roketi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu iwapo utawala huo hautafungua vivuko vya Ukanda wa Ghaza.

Abu Muhammad Msemaji wa Brigedi ya Mashahidi wa al Aqsa amesisitiza kuwa, utawala ghasibu wa Israel hauwezi kuendelea kuvifunga vivuko vya Ukanda wa Ghaza na kwamba utagharamika pakubwa kwa hatua yake hiyo.

Msemaji wa Brigedi ya al Aqsa ametahadharisha kuwa, iwapo utawala wa Kizayuni utaishambulia Ghaza, miji ya kizayuni pia itakabiliwa na mashambulizi ya roketi kutoka kwa wanamapambano wa Brigedi ya al Aqsa na makundi mengine ya muqawama.

Abu Muhammad ameeleza kuwa, makundi ya muqawama yamemtumia ujumbe adui Mzayuni kupitia kwa wapatanishi na yanasubiri jibu ili kubeba silaha wakati wowote.

[https://media]Wanamuqawama wa brigedia za mashahidi wa al Aqsa

Tor Wennesland Mratibu wa Amani wa Umoja wa Mataifa katika Mashariki ya Kati jana aliwasili Ghaza kwa lengo la kufuatilia baadhi ya mambo na mafaili ya mashambulizi yaliyofanywa na Israel dhidi ya eneo hilo, suala la kufungwa vivuko vya Ghaza na kuimarishwa usitishaji vita kati ya makundi ya muqawama ya Palestina na utawala wa Kizayuni. Akiwa Ghaza, Wennesland amefanya mazungumzo na Yahya al Sinwar Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas.

Tags
Inhekiwa poa ingekuwa hivi GAIDI NA MUUAJI MUQAWAMA AMTAHADHARISHA ADUI YAKR ISRAEL.
 
Wapalestina ni sawa na mtoto mtukutu(mkorofi) babaake ni dunia ambayo ni sawa na mzazi mjinga, mtoto(Palestine) mtukutu anaenda kuchokoza wenziwe akipewa kipigo, mzazi(dunia)mjinga anaanza kupiga kelele.
 
Ndugu yetu sasa ni wazi tumetambua kuwa akili yako sio timamu.
Kila siku unatamani Israeli ifutike lakini inatokea kinyume chake, Mpalestina ndiye anapukutishwa mdogomdogo.
Okoka mpokee Yesu utakuwa mtu mzuri.
 
Ww mwenyewe Yesu humfuati, labda unamfuata mzungu paulo
 
Back
Top Bottom