Murder Or suicide?

Both of 'em
It can't be both. Angalia uelekeo wa mkono na damu ukutani. Probably alijua muuaji anakuja akaanza kuandika wosia au note. Fulani amabyo haimtaji muuaji ndo maana ameiacha hapohapo.

Ntarudi....
 
Murder! Ingekua Suicide, angemaliza kuvuta Sigara ndo ajipige Risasi!
 
Ni murder kwasababu kwanza inaonesha kutokana Na ile damu dirishani kama ni suicide bac bunduki angetakiwa awe ameishika mkono wa kushoto,Na inaonesha alikua anaandika kitu huku akiwa amekaa kwenye kiti so Kama ni suicide angeanguka akiwa mwili umegeukia upande ule mwengine.bila kusahau kuna ndala moja tu nyingine haipo Na hyo iliyopo ipo mbali Na mguu so inamaanisha kulikua Na purukushani.
 
suicide

She finished writing her will/note... smoke a bit and shot her fookin' head

Bullet must come from inside and splash to the glass window

She also bleeds/drips from her left ear (not busted) from that ear

In addition, she felt on the right side, supporting laws za physics, hata stuli inasapoti

kajiua au kashikishwa gun kujilipua

labda tujiulize. why kuna chupa ya shampeni na hakuna glasi?
 
Suicide ameandika suicide note halafu kavua miwani akaageuka nyuma akavuta sigara ya mwisho aka pull trigger akaanguka na kiti kikaanguka opposite side.but i can't rule out a foul play.
 
It can't be both. Angalia uelekeo wa mkono na damu ukutani. Probably alijua muuaji anakuja akaanza kuandika wosia au note. Fulani amabyo haimtaji muuaji ndo maana ameiacha hapohapo.

Ntarudi....
Kajipiga risasi na bado akaweza kuishikilia bastola?
 
Kabla ya yote inabidi kuangalia haya kwanza:
  1. Picha inaonesha tukio lilitokea usiku =angalia mwanga kwenye dirisha, -victim alikua anasoma au anaandika na kamulika kwa kwa kutumia Desk Light
  2. Kandambili inayoonekana ni moja tu.... -inaonesha kulikuwa na purukushani na kandambili moja ikaelekea kusikojulikana.
  3. kalamu iliyo juu ya karatasi, ash tray na kopo la kinywaji vipo upande wa kushoto, inaonesha victim ni left handed- anatumia mkono wa kushoto, kwa hiyo asingeweza kutumia mkono wa kulia kujipiga risasi upande wa kushoto
  4. bastola iko mkono wa kulia. -haiwezekani mtu ajipige risasi upande wa kushoto wa kichwa na risasi hiyo ipenye na itokeze upande wa kulia wa kichwa.
  5. cable ya desk light imechomolewa. Wakati victim alikua anatumia taa kusoma au kuandima mezani- purukushani ilisababisha kuchomoka kwa cable na kawaida victim asingeweza kuandika suicide note gizani
  6. kuna umbali wa takribani mita moja toka mwili wa victim na sehemu risasi ilipotokea. -Nani kausogeza? hakuna kiashirio chochote kuwa victim alianza kutapatapa baada ya risasi kupenya kichwani kwake
  7. Sigara ikiwa mkononi na Bastola mkononi -sigara haiwaki imezima, kama ingekuwa imewashwa victim alipojilipua ingeendelea kuwaka maana iko mkononi hadi ingeisha na kuzima. inaonesha sigara ilizimwa na kupachikwa kwenye mwili wa victim baada ya kufa, tena hata bastola iliwekwa tu mkononi -mkono usioshabihiana na sehemu ya jeraha.
  8. mlalo wa kiti na mwili.- Mwelekeo wa kiti ni tofauti na uelekeo wa mwili wa victim.
  9. Victim haoneshi kuwa na dhamira ya kujiua, -kavaa mavazi ya usiku, alikuwa na nia ya kupitia some stuff kabla hajalala.
  10. Ganda la risasi liko wapi? inaonesha liko mbali na mwili, kinyume na uhalisia wa kujifyatulia risasi. uwepo wa ganda la risasi ungesaidia kufahamu aina ya silaha iliyotumika, umbali na position ya mfyatuaji.
Kwa hiyo mtu huyo kauawa. it is murder - conducted professionally.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…