BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Need to investigate more,..ila na wasiwasi na icho kitu apo could ave been murder,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni murder hiyo....na hiyo note haitambulishi ( muuaji ) ndo maana kaiacha hapo hapo ingekuwa ina m identify killer asingeacha baada ya mauaji hayo.Kajipiga risasi na bado akaweza kuishikilia bastola?
Bunduki [emoji736]Alikuwa anajisomea masking kapigwa binduki kutokea upande wa kushoto
Cc: Mahondaw
Uko sahihi kabisaMkuu ni murder hiyo....na hiyo note haitambulishi ( muuaji ) ndo maana kaiacha hapo hapo ingekuwa ina m identify killer asingeacha baada ya mauaji hayo.
same ideaNi murder kwasababu kwanza inaonesha kutokana Na ile damu dirishani kama ni suicide bac bunduki angetakiwa awe ameishika mkono wa kushoto,Na inaonesha alikua anaandika kitu huku akiwa amekaa kwenye kiti so Kama ni suicide angeanguka akiwa mwili umegeukia upande ule mwengine.bila kusahau kuna ndala moja tu nyingine haipo Na hyo iliyopo ipo mbali Na mguu so inamaanisha kulikua Na purukushani.
not real sirAre you forenscic scientist?
Kabla ya yote inabidi kuangalia haya kwanza:
[.
[*]kalamu iliyo juu ya karatasi, ash tray na kopo la kinywaji vipo upande wa kushoto, inaonesha victim ni left handed- anatumia mkono wa kushoto, kwa hiyo asingeweza kutumia mkono wa kulia kujipiga risasi upande wa kushoto
[*]bastola iko mkono wa kulia. -haiwezekani mtu ajipige risasi upande wa kushoto wa kichwa na risasi hiyo ipenye na itokeze upande wa kulia wa kichwa.
[*]cable ya desk light imechomolewa. Wakati victim alikua anatumia taa kusoma au kuandima mezani- purukushani ilisababisha kuchomoka kwa cable na kawaida victim asingeweza kuandika suicide note gizani
[*]kuna umbali wa takribani mita moja toka mwili wa victim na sehemu risasi ilipotokea. -Nani kausogeza? hakuna kiashirio chochote kuwa victim alianza kutapatapa baada ya risasi kupenya kichwani kwake
[*]Sigara ikiwa mkononi na Bastola mkononi -sigara haiwaki imezima, kama ingekuwa imewashwa victim alipojilipua ingeendelea kuwaka maana iko mkononi hadi ingeisha na kuzima. inaonesha sigara ilizimwa na kupachikwa kwen - conducted professionally.
Yes, inawezekana kabisa kwa baadhi ya watuUmesema vema Mtaalam. Ila kuna sehem kidogo nakusahish.
Mtu anaaweza changany mikono.
Mfano. Mimi naandika na kulia , kuchop vitu ni kulia, kumenya ni shoto and targeting n shooting kwa gun au rifle nafanya na shoto pia.