MURKOMEN; Serikali ya Jubilee inaua rai wa Kenya kwa makusudi

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Wakati jirani wetu akiimba na kupiga kelele kuhusu kuwa na katiba mpya, viongozi wao wameendelea kutumia ujinga wao kwa kuendeleza mauaji ya raia kwa sababu za kisiasa, kibiashara na kijamii.

Kama ijulikanavyo, tangu Kenya ijipatie Uhuru wake, wimbi la mauaji kwa watu mbalimbali liliendelea na kuiweka Kenya kuwa katika orodha ya kundi la nchi hatari sana duniani kujihusisha na siasa.

Mambo yaliendelea hadi 2007 ambapo maji yalizidi unga, ambapo wakenya walipoidhihirishia dunia kwamba wao ni wanyama kuzidi Simba wa Tsavo, pale walipowachinja na kuwabanika wakenya wenzao zaidi ya 2000, hata waliokimbilia kanisani kujificha hawakunusurika.

Ilipofika 2010, wakaandika katiba, wakidhani ndio utakua muarubaini wa matatizo yao, bila kujua kwamba tatizo sio katiba, ila tatizo ni akili na "Attitude", matokeo yake wamejikuta wakiingia katika matatizo zaidi ya, mauaji ya kikabila, mauaji ya kisiasa, rushwa, " Nepotism ", Ukosefu wa ajira, njaa, umasikini, Ukosefu wa ajira na kadhalika.

Kiongozi wa waliowengi katika bunge la seneti, Bw. MURKOMEN, uzalendo umemshinda na kusema wazi wazi kwamba serikali ya Jubilee ni hovyo, wauwaji na anajutia kuwa ndani ya Jubilee.
 
Daaaah aya weeeh!!!!!!
Jamaa anasema wazi yan mshikaji kalala kaburin kwasababu wanaotakiwa kumlinda ndio waliomuua.
Hii Kenya isipojiangalia itageuka Yemen.
 
Wakiambiwa ni "failed state" wanakataa, hopeless country.
 
Back
Top Bottom