Muro kakosea kwenda Yanga, Yanga nayo imekosea kumpata Muro

Muro kakosea kwenda Yanga, Yanga nayo imekosea kumpata Muro

kalagabaho

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,457
Reaction score
5,893
Anaongea kama mwenyekiti wa klabu, anaongea kama katibu mkuu wa klabu, anaongea kama kocha wa klabu na mbaya zaidi anaongea kama wale mashabiki wasiofuatilia soka ila ni mahili kupiga domo.jerry muro anaharibu zaidi cv yake yanga..yanga nayo inaharibiwa kwa kuonekana kama inaongozwa na afisa habari anayefoka bila sababu hata kwa hoja za kawaida kabisa. Ukweli yanga na jerry wote wamepatikana na wote wanaharibiana CV kwa kasi ya ajabu
 
kalagabaho

Jana nimemsikia ktk Sports Leo ya Radio One, nikashangaa jinsi anavyoongelea suala la Ngassa, anaongea kwa mamlaka makubwa kana kwamba ana uwezo na mamlaka juu ya Ngasa.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni mbumbumbu kweli wewe ulitaka manji ndiyo aseme wakati muro ndiye msemaji!!! Yeye anayosema yote yamejajadiliwa na na kamati kwa ujumla' siyo kama kwenu simba Hans pop akihadiliana na mkewe a naongea Kaburu wakijadiliana bar na wahuni wenzake haya yule muza chai nae hivyo hivyo ' yanga inaongozwa kisomi nyie mabar medy
 
Kwani nini maana ya kuwa msemaji wa club,au hamjui kwamba anachokiongea ndio kauli ya club....shule inakusumbua mtoa mada
 
vieira77

Kinywa kina uhuru wa kuzungumza chochote lakini mtu wa PR anachagua lugha na maneno ya kutamka mbele ya hadhira, ndio maana TFF wakavitaka vilabu kuajiri wasemaji wenye taaluma zao ambao wana technics na good PR.

Kwa hiyo hatutegemei PR Officer azungumze kama wanavyozungumza Hanspope na Jamhuri Kihwelo.
 
Last edited by a moderator:
Mashabiki wa tanzania ni matatizo wanapenda vitu mkato mkato sijui elimu ndogo hata sijui sasa wanavyomlaumu muro hata siwaelewi amewambia utaratibu hawataki
 
Jana nimemsikia ktk Sports Leo ya Radio One, nikashangaa jinsi anavyoongelea suala la Ngassa, anaongea kwa mamlaka makubwa kana kwamba ana uwezo na mamlaka juu ya Ngasa.
Mamlaka makubwa ndio yakoje, ukiwa msemaji wa timu au taasisi yoyote maana yake unaongea kwa niaba ya timu kama taasisi kupitia maamuzi halali yaliyofikiwa na bodi au uongozi husika hivyo sidhani kama kuna shida
 
Muro ana mamlaka ya kumfokea Ngasa??..katumwa na manji amfokee?
 
Mnaacha kujadili droo na kufungwa kwenu kazi kujadili mambo ya klabu yenye mwenendo mzuri. Nami ngoja niwasemehe, NAWASHANGAA SANA MIKIA SIJUI NANI ALIYEWASHAURI KUMWACHA TAMBWE NA KUACHUKUA VIMEO WALE AKINA SIRI YA ****,

Unashangaa kuachwa foward asiyefunga magoli?
 
Mnaacha kujadiri draw zenu za kila siku,mnaijadili Yanga. Jeri Muro ni msemaji wa klabu ya Yanga nzima,hivyo anaruhusiwa kusemea chochote kinachoihusu au kuhusiana na Yanga. Iwe kuhusu uongozi,mashabiki,wapenzi na hata issue zinazowahusu nini Mikia.
 
Mamlaka makubwa ndio yakoje, ukiwa msemaji wa timu au taasisi yoyote maana yake unaongea kwa niaba ya timu kama taasisi kupitia maamuzi halali yaliyofikiwa na bodi au uongozi husika hivyo sidhani kama kuna shida

Hujamuelewa Muro wewe!! Amesema atamfukuza Ngasa!.. yaani yeye kama yeye wala hajatumwa kutoa tamko hilo
 
Mnaacha kujadiri draw zenu za kila siku,mnaijadili Yanga. Jeri Muro ni msemaji wa klabu ya Yanga nzima,hivyo anaruhusiwa kusemea chochote kinachoihusu au kuhusiana na Yanga. Iwe kuhusu uongozi,mashabiki,wapenzi na hata issue zinazowahusu nini Mikia.

Ni kweli tunamuona anvyosema chochote kama shabiki maandazi!
 
Kwani nini maana ya kuwa msemaji wa club,au hamjui kwamba anachokiongea ndio kauli ya club....shule inakusumbua mtoa mada

kama anatumwa kusema vile naye anakubali basi chizi na mwendawazimu wamekutana
 
Muro ana mamlaka ya kumfokea Ngasa??..katumwa na manji amfokee?
Nime-repond kulingana na uzi, sijaona sehemu ambapo pameandikwa kwenye uzi huu kwamba Muro amemfokea Ngasa. Yeye ameongea kwenye vyombo vya habari kwa sauti ambayo watz wengi tuliozoea kulembalemba mambo huwa tunaitafsiri vingine either dharau au mamlaka kama mlivyotafsiri nyie otherwise ameleta kile ambacho uongozi umeamua.

Kikubwa dawa ya deni ni kulipa, kama Ngasa angelipa deni lake yote hayo yasingekuwepo na huu ndio uwe mfano kwa wengine maana viongozi wa Yanga waliopita walifanya uzembe kwa kutopitisha mshahara wa Ngasa bank na Ngasa na yeye kwa kuwa alishazoea kulelewa na viongozi wetu wanaopiga siasa kwenye soka akaacha kupeleka ela bank kwa hiari yake. Watu wamekuja wameng'ang'aniza kupeleka ela bank kwa kuwa Yanga kama taasisi ndio iliyomdhani mtu anaanzisha mgogoro na club wakati yeye ndio source
 
Jodoki Kalimilo

unadhani ni busara kuita waandishi wa habari kuzungumzia makato ya deni la laki tano mlilokubaliana kwenye vikao vyenu vya ndani? busara zenu ndio zimeishia hapo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom