Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rage aliondolewa madarakani???? Acha uongo
waulize wabotswana kazi yake.
waulize wabotswana kazi yake.
Kwa kuwa huna hoja ya kunijibu huna budi kukaa kimya....Afadhali Mkuu umemjibu, mimi siku hizi huwa simjibu huyo.
Kama hajaondolewa na wanachama wa Simba sema hapa nani ni mwenyekiti wa Simba leo hii? Sikushangai mara mbili vipigo vya Simba bado vinazunguka kwenye mijicho yako hata kuona mbele huoni.Rage aliondolewa madarakani???? Acha uongo
kalagabaho
wewe umetumwa nini? mbona huongelei timu yenu mbovu ni hakuna mfano kinacho kutekenya kitu gani we manji au sanga?. muro yuko makini sana ndo maana kaitwa mkurugenzi wa habari ww ulitaka aongelee simba?
Anaongea kama mwenyekiti wa klabu, anaongea kama katibu mkuu wa klabu, anaongea kama kocha wa klabu na mbaya zaidi anaongea kama wale mashabiki wasiofuatilia soka ila ni mahili kupiga domo.jerry muro anaharibu zaidi cv yake yanga..yanga nayo inaharibiwa kwa kuonekana kama inaongozwa na afisa habari anayefoka bila sababu hata kwa hoja za kawaida kabisa. Ukweli yanga na jerry wote wamepatikana na wote wanaharibiana CV kwa kasi ya ajabu
Jamhuri Kiheelo anapoxungumza ni kwa nafasi yake ya ukocha kwa mujibu wa taratibu za kimpira, Hans Poppe yeye aongee kwa nafasi ipi ndani ya taratibu za kimpira?vieira77
Kinywa kina uhuru wa kuzungumza chochote lakini mtu wa PR anachagua lugha na maneno ya kutamka mbele ya hadhira, ndio maana TFF wakavitaka vilabu kuajiri wasemaji wenye taaluma zao ambao wana technics na good PR.
Kwa hiyo hatutegemei PR Officer azungumze kama wanavyozungumza Hanspope na Jamhuri Kihwelo.
Anaongea kama mwenyekiti wa klabu, anaongea kama katibu mkuu wa klabu, anaongea kama kocha wa klabu na mbaya zaidi anaongea kama wale mashabiki wasiofuatilia soka ila ni mahili kupiga domo.jerry muro anaharibu zaidi cv yake yanga..yanga nayo inaharibiwa kwa kuonekana kama inaongozwa na afisa habari anayefoka bila sababu hata kwa hoja za kawaida kabisa. Ukweli yanga na jerry wote wamepatikana na wote wanaharibiana CV kwa kasi ya ajabu
Bora Steve.
ngoja kesho nasikia wanamfungia soka kidogo
Mdomo mchafu umeshafungwa kwa mwaka mmoja na faini ya mil 3 kuanzia Jul, 07.