kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Mamlaka makubwa ndio yakoje, ukiwa msemaji wa timu au taasisi yoyote maana yake unaongea kwa niaba ya timu kama taasisi kupitia maamuzi halali yaliyofikiwa na bodi au uongozi husika hivyo sidhani kama kuna shidaJana nimemsikia ktk Sports Leo ya Radio One, nikashangaa jinsi anavyoongelea suala la Ngassa, anaongea kwa mamlaka makubwa kana kwamba ana uwezo na mamlaka juu ya Ngasa.
Mamlaka makubwa ndio yakoje, ukiwa msemaji wa timu au taasisi yoyote maana yake unaongea kwa niaba ya timu kama taasisi kupitia maamuzi halali yaliyofikiwa na bodi au uongozi husika hivyo sidhani kama kuna shida
Mnaacha kujadili droo na kufungwa kwenu kazi kujadili mambo ya klabu yenye mwenendo mzuri. Nami ngoja niwasemehe, NAWASHANGAA SANA MIKIA SIJUI NANI ALIYEWASHAURI KUMWACHA TAMBWE NA KUACHUKUA VIMEO WALE AKINA SIRI YA ****,
Mamlaka makubwa ndio yakoje, ukiwa msemaji wa timu au taasisi yoyote maana yake unaongea kwa niaba ya timu kama taasisi kupitia maamuzi halali yaliyofikiwa na bodi au uongozi husika hivyo sidhani kama kuna shida
Muro ana mamlaka ya kumfokea Ngasa??..katumwa na manji amfokee?
Mnaacha kujadiri draw zenu za kila siku,mnaijadili Yanga. Jeri Muro ni msemaji wa klabu ya Yanga nzima,hivyo anaruhusiwa kusemea chochote kinachoihusu au kuhusiana na Yanga. Iwe kuhusu uongozi,mashabiki,wapenzi na hata issue zinazowahusu nini Mikia.
Wote Yanga na Muro wehu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Kwani nini maana ya kuwa msemaji wa club,au hamjui kwamba anachokiongea ndio kauli ya club....shule inakusumbua mtoa mada
Nime-repond kulingana na uzi, sijaona sehemu ambapo pameandikwa kwenye uzi huu kwamba Muro amemfokea Ngasa. Yeye ameongea kwenye vyombo vya habari kwa sauti ambayo watz wengi tuliozoea kulembalemba mambo huwa tunaitafsiri vingine either dharau au mamlaka kama mlivyotafsiri nyie otherwise ameleta kile ambacho uongozi umeamua.Muro ana mamlaka ya kumfokea Ngasa??..katumwa na manji amfokee?
Wacha wafu wazikane