Muro kakosea kwenda Yanga, Yanga nayo imekosea kumpata Muro

grafani11

Rage aliondolewa madarakani???? Acha uongo
 
Last edited by a moderator:
Rage aliondolewa madarakani???? Acha uongo
Kama hajaondolewa na wanachama wa Simba sema hapa nani ni mwenyekiti wa Simba leo hii? Sikushangai mara mbili vipigo vya Simba bado vinazunguka kwenye mijicho yako hata kuona mbele huoni.
 
kalagabaho

wewe umetumwa nini? mbona huongelei timu yenu mbovu ni hakuna mfano kinacho kutekenya kitu gani we manji au sanga?. muro yuko makini sana ndo maana kaitwa mkurugenzi wa habari ww ulitaka aongelee simba?

Muro yuko makini? Na jana ametoa amri ya kutopekeka timu uwanjani ole wenu msitii amri yake!
 
Last edited by a moderator:
Kweli wewe mbumbumbu,kwa hiyo alitoka madarakani kabla muda wake haujaisha?
 

ngoja kesho nasikia wanamfungia soka kidogo
 
Jamhuri Kiheelo anapoxungumza ni kwa nafasi yake ya ukocha kwa mujibu wa taratibu za kimpira, Hans Poppe yeye aongee kwa nafasi ipi ndani ya taratibu za kimpira?
 
Bora Steve.
 
Mdomo mchafu umeshafungwa kwa mwaka mmoja na faini ya mil 3 kuanzia Jul, 07.
 
Mdomo mchafu umeshafungwa kwa mwaka mmoja na faini ya mil 3 kuanzia Jul, 07.

Sasa amebaki kujizushia eti kateuliwa kuwa afisa habari ikulu..anataka abaki midomoni mwa watu wakati watu wameshachoka kusikia pumba zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…