Kabla sijakujibu mkuu wewe ni topeni au wakimataifa?Wanalamba shilingi ngapi?
SimbaKabla sijakujibu mkuu wewe ni topeni au wakimataifa?
Kumbuka Hans Pope kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu 2015/16 kati ya Yanga na Simba, alisema tumewaandalia Yanga supu ya mawe na kachumbari ya miiba! Je, alikuwa na maana hiyo kweli? Ni utani tu waache kupanic wajenge timu.Wewe unafikiri nini maana ya neno "WATANI WA JADI?!"
Ndo UTANI wenyewe huu.
Huu ni UTANI lakini utasaidia MUSOTI apate haki yake kwa kuwa Simba wataona aibu kulipiwa deni na Yanga & watapambana kumlipa Musoti.
Mtoto ana dharau huyu!!!!! we mwache dawa yake ipo jikoni, tutamgeuza pipi tunamramba tu.
Mnywa viroba MuroHahaha
Muro ni hatareee
AaaahMnywa viroba Muro
Nikikumbuka kipindi kile alivyokuwa analia anaonewa na mahakama kumbe daaah kulikuwa na ukwel ndani yakeAaaah
Sasa punguza hasira ndugu yangu PNC1
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nikikumbuka kipindi kile alivyokuwa analia anaonewa na mahakama kumbe daaah kulikuwa na ukwel ndani yake