Muro : Pesa za CAF tutailipia Simba SC deni la Musoti

Muro : Pesa za CAF tutailipia Simba SC deni la Musoti

Kweli kabisa masikini kaona mwezi simba walikula Hela za caf kabla muro hajazaliwa
 
Wewe unafikiri nini maana ya neno "WATANI WA JADI?!"

Ndo UTANI wenyewe huu.

Huu ni UTANI lakini utasaidia MUSOTI apate haki yake kwa kuwa Simba wataona aibu kulipiwa deni na Yanga & watapambana kumlipa Musoti.
Kumbuka Hans Pope kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu 2015/16 kati ya Yanga na Simba, alisema tumewaandalia Yanga supu ya mawe na kachumbari ya miiba! Je, alikuwa na maana hiyo kweli? Ni utani tu waache kupanic wajenge timu.
 
Ni ili simba isishuke daraja kwa kuwa kuna 6 za yanga kutoka simba

 
Mtoto ana dharau huyu!!!!! we mwache dawa yake ipo jikoni, tutamgeuza pipi tunamramba tu.

Heeeee, comrade, polepole...mchezo huu hauhitaji hasira....yasije yakamkuta dogo Muro, halafu ukaanza kutafutwa bure, punguza hasira...
 
duuh kama hii habar ni kwl simba hii sasa ni dharau.
 
Gud maana wa matopeni wata shushwa daraja

Mimi pia ntawachangia
 
Back
Top Bottom