Muro : Pesa za CAF tutailipia Simba SC deni la Musoti

Muro : Pesa za CAF tutailipia Simba SC deni la Musoti

Waliotolewa kwenye champions league wanakutana kwenye confederation cup. Kwa ufupi haya mashindano ni ya walioshindwa, yaani kombe la washindwa. Akina Zamalek, Al Ahly na ASEC wapo kule kwa wababe. Hili ni kama kombe alilochukua Sevilla (eti fainali Sevila vs Liverpool)!
Unachekesha...... Mbona hampo huko kwa walioshindwa? La mkosaji.....
 
Ni kombe hili hili mnalotambia kuwa mlifika Fainali Afrika 1993, mlicheza mechi dhidi ya:
1. Ferroviaro ya Msumbiji
2. Atletico Aviacao ya Angola
3. El Harrach ya Algeria
4. Stella Abdijan ya Ivory Coast

Mlizitoa timu 3 tu na kuingia fainali. Hebu hesabu sisi tumecheza na timu ngapi na ni timu ngapi tutacheza nazo hadi kufikia fainali.

Poor mikia!!!!!
Bora umuelimishe..... Fungu la kukosa huyo
 
Anaye bishia mafanikio ya wa kimataifa kwa sasa kaishiwa point kwa kwel
 
Back
Top Bottom