Murtaza Mangungu ashinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya Dimba Sc. kwa kupata kura 1,311

Murtaza Mangungu ashinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya Dimba Sc. kwa kupata kura 1,311

Murtaza Mangungu ameshinda katika Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo kwa kupata kura 1,311 akimshinda Moses Kaluwa kwa tofauti ya kura 266 huku kura 7 zikiharibika.
View attachment 2499774

Walioshinda nafasi ya ujumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ni;

1.Dr Seif Ramadhan Muba - kura 1636
2.Asha Baraka - kura 1564
3.CPA Issa Masoud Iddi - kura 1285
4. Rodney Chiduo - kura 1267
5. Seleman Harubu - kura 1250

Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mkutano-mkuu-simba.2060929/
GENTAMYCINE hakugombea? Sasa nyie mashabiki wa Simba MSIMBAZI huwa mnatupigia kelele bure hapa jukwaani na sifa za kugombea uongozi hamna? Nyie ni mashabiki maandazi. Wapi OKW BOBAN SUNZU ?
 
Minne tena ya kupigwa na topolo?

Au hali itabadilika?
Minne tena ya robo fainali CAF Champions League. Kila mtu ana malengo yake. Yanga ina malengo ya kuizuia Simba isishinde, wakati Simba ina malengo ya kuvuka hatua zaidi ya robo fainali CAF Champions League.
 
"HAKUNA UMASIKINI MBAYA KAMA UMASIKINI WA FIKRA".


YANI WAJUMBE MMENIANGUSHA MNO.
Yes wajumbe kama wajumbe ndio waamuzi [emoji23][emoji23]
JamiiForums1286145126.jpg
 
Tukutane uchaguzi ujao nitakuwa mjumbe wa Bodi. Mkiona CPA, CPSP mjue ndio mimi huyo
 
Back
Top Bottom