Murtaza Mangungu ashinda uchaguzi nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya Dimba Sc. kwa kupata kura 1,311

GENTAMYCINE hakugombea? Sasa nyie mashabiki wa Simba MSIMBAZI huwa mnatupigia kelele bure hapa jukwaani na sifa za kugombea uongozi hamna? Nyie ni mashabiki maandazi. Wapi OKW BOBAN SUNZU ?
 
Minne tena ya kupigwa na topolo?

Au hali itabadilika?
Minne tena ya robo fainali CAF Champions League. Kila mtu ana malengo yake. Yanga ina malengo ya kuizuia Simba isishinde, wakati Simba ina malengo ya kuvuka hatua zaidi ya robo fainali CAF Champions League.
 
Tukutane uchaguzi ujao nitakuwa mjumbe wa Bodi. Mkiona CPA, CPSP mjue ndio mimi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…