Murtaza Mangungu: Atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa

Murtaza Mangungu: Atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
MANGUNGU KUHUSU KARIA 👇

🗣"Kwa ambae atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa ambalo wewe Wallace Karia umeshindwa kulifanya, lipi ambalo yeye atakuwa ametoka nalo huko aliko kuja kulileta, hoja yangu ya msingi ni wajumbe kumpitisha tena Rais Wallace Karia"- Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba wakati anazungumza kwenye mkutano mkuu wa TFF uliofanyika Desemba 21 pale Moshi, Kilimanjaro.

🗣"Tanzania ni sifa yetu ya kutokuwa na muendelezo tunaweza tukaanza kufanya jambo zuri ila tukafika kati tukakwama, Wewe Rais Karia umefanya kazi nzuri sana tukupongeze na kazi hiyo nzuri inastahili upewe tuzo na chanda chema huvikwa Pete."- Murtaza Mangungu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba wakati anazungumza kwenye mkutano mkuu wa TFF uliofanyika Desemba 21 pale Moshi, Kilimanjaro.

Uchaguzi wa shirikisho la soka nchini TFF utafanyika Agosti 16 katika mji wa Tanga na zoezi linaloendelea kwasasa ni uchukuaji na kurudisha fomu za maombi kwa nafasi mbalimbali.
1750077281193.jpeg
 
Jambo kubwa ni kuhakikisha Yanga na simba zinakuwa sawa na vilabu vingine. Kusiwe na special treatment ya aina yoyote ile. Na huyo kiongozi (siyo Wallace Karia) akiamua, anaweza.
 
Hizo academies za Kigamboni na Tanga ni aibu tupu, ilhali hela zimetoka FIFA.
Hamna vision.
 
Back
Top Bottom