Murtaza Mangungu: Inakuwaje Timu Iliyoongozwa na Malofa Ikapigania Uhuru?

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru.

"Tumesoma vitabu vya historia na klabu yao wao ilikuwa inaongozwa na Watu malofa sasa Malofa wanawezaje kutusaidia kupigania uhuru?"
 
View attachment 3116776
Na huyu ni Mwenyekiti wa timu inayowaza kuwa tishio Africa.....😂😂😂
 
Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru.

"Tumesoma vitabu vya historia na klabu yao wao ilikuwa inaongozwa na Watu malofa sasa Malofa wanawezaje kutusaidia kupigania uhuru?"
View attachment 3116776
Mwenyekiti wetu Mangungu anafanya makosa makubwa sana kuendelea kutumia kilevi cha bangi katika ule umri wake alio nao sasa.

Kilevi cha bangi ni kwa ajili vijana walioko kwenye lika la balehe! Na siyo kwa watu wa umri wa Mangungu.
 
Kosa kuwaita LOFA MWIKO NYUMA FC 🤣
 
IMG-20241005-WA0038.jpg
 
Karne ya 22 mwenyekiti wa inayojiita timu kubwa unaongea vichambo kwenye mkutano mkuu? Tena vichambo visivyo na mbele wala nyuma.

Elezeeni mikakati ya timu nguruwe nyinyi, semeni focus and direction na muwaambie wanachama wenu mikakati mnayoweka kufikia malengo.

Mwenyekiti mzima unaleta vichambo alafu Ahmed Ally afanye kazi gani?
 
Elimu ya nwenyekiti wetu tafadhali!

Amelimaliza kweli darasa la 8 wakati huo?
 
Mwenyekiti ana akili kuliko mashabiki. Sio kwamba hajui anachokifanya au alichokisema, La hasha lengo lake anajua mashabiki wa Simba ndio habari wanazopenda kuzisikia ili yeye aendelee kuchekewa na mbumbumbu.

Poleni sana makolo
 
Tulitakiwa tupate uhuru mapema sana.utopolo walitufelisha
 
Back
Top Bottom