Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
LofaIla kweli mbu×3 linawahusu
Na huyu ni Mwenyekiti wa timu inayowaza kuwa tishio Africa.....😂😂😂Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru.
"Tumesoma vitabu vya historia na klabu yao wao ilikuwa inaongozwa na Watu malofa sasa Malofa wanawezaje kutusaidia kupigania uhuru?"
View attachment 3116776
Hujui kuwa umetokana na malofaLofa
DUME JIKEHujui kuwa umetokana na malofa
Hahaja mbux3
Kwani sio tishio afrika ? Basi wasingekuwepo hata top 10 klabu kubwa afrikaNa huyu ni Mwenyekiti wa timu inayowaza kuwa tishio Africa.....😂😂😂
Akili za mbux3 hata macho na akili haziwezi kusomaDUME JIKE
DUME JIKE MWIKO.NYUMA LOFAAkili za mbux3 hata macho na akili haziwezi kusoma
🙌Kwani sio tishio afrika ? Basi wasingekuwepo hata top 10 klabu kubwa afrika
Au ulofa mwiko unakuwasha 🤣
Mwenyekiti wetu Mangungu anafanya makosa makubwa sana kuendelea kutumia kilevi cha bangi katika ule umri wake alio nao sasa.Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, anasema kwamba historia inadhihirisha tofauti kati ya timu za soka, akitaja Simba kuwa na wachezaji wenye akili huku akieleza kuwa timu iliyoongozwa na Malofa wanawezaje kusaidia mapambano makubwa katika kuleta uhuru.
"Tumesoma vitabu vya historia na klabu yao wao ilikuwa inaongozwa na Watu malofa sasa Malofa wanawezaje kutusaidia kupigania uhuru?"
View attachment 3116776
Kosa kuwaita LOFA MWIKO NYUMA FC 🤣Mwenyekiti wetu Mangungu anafanya makosa makubwa sana kuendelea kutumia kilevi cha bangi katika ule umri wake alio nao sasa.
Kilevi cha bangi ni kwa ajili vijana walioko kwenye lika la balehe! Na siyo kwa watu wa umri wa Mangungu.