Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi darasa la Saba.[emoji3]Simba hatuna viongozi wenye maono na dhamira ya dhati
Ali ahidi kuifunga Yanga [emoji736]Kama ndio kiongozi mkubwa ndani ya club anatoa kauli hyo anapazwa asbh na mapema afukuzwe clubuni Happ na uchaguzi ufanyike haraka San. Mkp Simba mtaendelee kuwa mbumbumbu Hadi kiongozi anatoa kauli hzo?
Mbona amesahau pia kuwaambia mashabiki ya kwamba aliwaleta Caesar Manzoki kutoka China! kwenye ule uchaguzi alioshinda, ili tu awasalimie!Kutoka kwa Mwenyekiti wa Simba.
“Niliwaahidi mashabiki wa Simba, msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote. Kwenye hilo mashabiki hawanidai”.
[emoji2788] Murtaza Mangungu, M/kiti wa Simba SCView attachment 2624187
Kwahiyo "mmbwa huyu" ndiyo moderators hawakupigi ban? [emoji4]Naogopa tu Mods watanipiga ban.************************************************************************************************ kila akipumua mbwa huyu
Mayele ndiye aliwaua wachezaji watatu kwa chenga kisha akashindilia msumali kabisa kwa tobo la Inonga na Kipa la Makolokolo kwenye ngao ya hisani [emoji125][emoji2]Kibu Nenga alikuwa amuue yule mdaka Michael uchwara
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Piga makofi tafadhaliiiiKibu Nenga alikuwa amuue yule mdaka Michael uchwara
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hawqkumchangua zilipigwa kura za maruhaniKama ni kweli ametoa hii kauli basi Simba kuna shida kubwa kwenye bodi na uongozi wote kwa ujumla. Kwa hiyo wanachama walikaa kabisa wakamchagua huyu ndie awe kiongozi wao.
Huyu mngungu ni pqndikizi la utopoloGentamycine alipomkataa alishambuliwa Sana hapa. Lakini kiongozi anatafuta Uongozi Madrid ahadi yake iwe kumfunga Barcelona?
Aaaah mwanaume utachekaje na kupatwa na kwikwi gademu
Aaaah mwanaume utachekaje na kupatwa na kwikwi gademu
Vipi daima mwiko?Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app