Murtaza Mangungu, Simba sc Hawanidai

Naogopa tu Mods watanipiga ban.************************************************************************************************ kila akipumua mbwa huyu
 
Kama ndio kiongozi mkubwa ndani ya club anatoa kauli hyo anapazwa asbh na mapema afukuzwe clubuni Happ na uchaguzi ufanyike haraka San. Mkp Simba mtaendelee kuwa mbumbumbu Hadi kiongozi anatoa kauli hzo?
 
Kutoka kwa Mwenyekiti wa Simba.

“Niliwaahidi mashabiki wa Simba, msimu huu lazima tumfunge Yanga na tumemfunga tukafurahi wote. Kwenye hilo mashabiki hawanidai”.

[emoji2788] Murtaza Mangungu, M/kiti wa Simba SCView attachment 2624187
Mbona amesahau pia kuwaambia mashabiki ya kwamba aliwaleta Caesar Manzoki kutoka China! kwenye ule uchaguzi alioshinda, ili tu awasalimie!
Na yenyewe ni mafanikio!

Achilia mbali kufa kiume kwa Wydad Casablanca kule Morocco!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…