Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

Musa Assad aingia mkataba wa ukaguzi na Sweden

Wameshika pabaya mabeberu
CAG mstaafu;Musa Asad ameingia mkataba wa miaka mitatu (2019-2022) wa kukagua hesabu zote za fedha za misaada inayotolewa na swedan kwa Tanzania.
....................
Una maoni gani kwa Asad na kwa serikali ya Tanzania?
 
Akiacha Udini atawork hata WB
Ikiwa kwa neno "udini" umemaanisha Uislam basi nakushangaa wewe ambae bado mpaka leo hujajisalimisha kwa muumba wako.

Wewe umejisalimisha kwa nani?
 
Back
Top Bottom