Musa gani huyu??

Mlandege

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2012
Posts
1,195
Reaction score
576
Hivi huyu Musa wa power breakfast clouds Fm ni yupi yule alokuwa Eatv??

Naomba kueleweshwa tafadhali

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Baada ya kuacha kazi katika kituo cha Television cha EATV/EA Radio zaidi ya mwaka mmoja uliopita, Mtangazaji Mussa Hussein ametaja kituo chake kipya cha kazi pamoja na show yake mpya exlusive on millardayo.com

Amesema "kwa muda wote niliokua kimya nilikua nafanya shughuli zangu binafsi pia kuangalia soko likoje na utafiti mbalimbali kufahamu ni kut gani watu wanachokikosa na wanahitaji kukiona"

Mussa ameamplfy zaidi kwamba "sasa hivi nitakua naonekana CLOUDS TV na show inaitwa MWANA DAR ES SALAAMA, kwa nini mwanadar es salaam? ndio inabidi watu wasubirie manake nimekua mwanadar es salaama kamili kutoka uswazi niko katikati ya jiji na nitasababisha yale yote ambayo yako katikati ya jiji usiyoyajua, utayafahamu, na nitasafiri nje ya Dar es salaam pia ambapo show yangu itaanza kuonekana mwishoni mwa mwezi march mwaka huu, Wengi wanajaribu kubashiri na kujiuliza lakini hakuna ajuae ujio wa mwanadar es salaama

from: Millard Ayo – Official Website


 

Umenielewesha nikaelewa.......massive respect

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…