Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuacha kazi katika kituo cha Television cha EATV/EA Radio zaidi ya mwaka mmoja uliopita, Mtangazaji Mussa Hussein ametaja kituo chake kipya cha kazi pamoja na show yake mpya exlusive on millardayo.com
Amesema kwa muda wote niliokua kimya nilikua nafanya shughuli zangu binafsi pia kuangalia soko likoje na utafiti mbalimbali kufahamu ni kut gani watu wanachokikosa na wanahitaji kukiona
Mussa ameamplfy zaidi kwamba sasa hivi nitakua naonekana CLOUDS TV na show inaitwa MWANA DAR ES SALAAMA, kwa nini mwanadar es salaam? ndio inabidi watu wasubirie manake nimekua mwanadar es salaama kamili kutoka uswazi niko katikati ya jiji na nitasababisha yale yote ambayo yako katikati ya jiji usiyoyajua, utayafahamu, na nitasafiri nje ya Dar es salaam pia ambapo show yangu itaanza kuonekana mwishoni mwa mwezi march mwaka huu, Wengi wanajaribu kubashiri na kujiuliza lakini hakuna ajuae ujio wa mwanadar es salaama
from: Millard Ayo Official Website
![]()