Musa hussen...

Musa hussen...

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Naskia huyu jamaa ametua Clouds.Binafsi naona Atleast wamepata mtangazaji maana wana watangazaji wachache sana, wengi ni waropokaji na wauza sura.Huyu ni mmoja wa watangazaji mahiri wasioweka hisia zao binafsi kwenye public kama kibonde na wale wajinga wa sports extra!
 
Back
Top Bottom