PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Mwanachama wa Chama Cha Mapunduzi, Musa Ryoba amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu linaendelea nchi nzima tangu lilipoanza Juni 28, likitarajiwa kufungwa Julai 2, 2025.
Zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu linaendelea nchi nzima tangu lilipoanza Juni 28, likitarajiwa kufungwa Julai 2, 2025.