unataka kusema dawa ya kukomesha utekaji ni Katiba ya Warioba na Tume huruWananchi tumekuwa kama nyumbu ndani ya Manyara. Ukilala leo hujui kwesho litampata nani na raia tunaona kama ni kawaida tu. Kweli ujinga ni janga.
Tangu bwana yule arudi uongozini na kupotea kwa watu kumerudiNdugu MUSA VENERABLE MZ1BA Mfanyabishara mwenye Umri wa Miaka 37 anae miliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd AMECHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA TAR: 07 DISEMBA mida Ya Saa 2 Usiku, akiwa Maeneo ya Ofisini Kwake Mikocheni.
Familia Inaomba sana Msaada Kwa Jeshi La polisi @policetanzania Kuwasaidia Kufanikisha Kumpata Ndugu/jamaa/Baba Yao KIN/CID/PE 1.68 / 2023 JALADA LA UCHUNGUZI 12.12.2023 DYB / RB / 7972 / 2023
TAARIFA
Mwenye Taarifa yoyote Tafadhali wasiliana kwa Namba: 0713437374 Au 0683520687
MWENYEZI MUNGU ABARIKI NDUGU YETU MUSA MZIBA APATIKANE AKIWA SALAMA.
@policetanzania @ikulumawasiliano
View attachment 2842686View attachment 2842687
1. Kampuni yake inajihusisha na shughuli gani hasa?Ndugu MUSA VENERABLE MZ1BA Mfanyabishara mwenye Umri wa Miaka 37 anae miliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd AMECHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA TAR: 07 DISEMBA mida Ya Saa 2 Usiku, akiwa Maeneo ya Ofisini Kwake Mikocheni.