Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Nimebahatika kuona clip ya mzalendo huyu kuhusiana na TRA, sio rocket science, huyu mzalendo ametekwa na TRA, na mbaya zaidi awamu hii nayo hii itakua cold case kama ya yule mzazi aliyefiwa na binti yake pale Lindi shuleni, TRA hasa HQ kuna mtu/watu wanajua mzalendo huyu yupo wapi
Naweza kuja kwenye inbox yako?
 
Nimebahatika kuona clip ya mzalendo huyu kuhusiana na TRA, sio rocket science, huyu mzalendo ametekwa na TRA, na mbaya zaidi awamu hii nayo hii itakua cold case kama ya yule mzazi aliyefiwa na binti yake pale Lindi shuleni, TRA hasa HQ kuna mtu/watu wanajua mzalendo huyu yupo wapi
👍...!
Polisi ianzie hapa.
 
Ndugu MUSA VENERABLE MZ1BA Mfanyabishara mwenye Umri wa Miaka 37 anae miliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd AMECHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA TAR: 07 DISEMBA mida Ya Saa 2 Usiku, akiwa Maeneo ya Ofisini Kwake Mikocheni.

Familia Inaomba sana Msaada Kwa Jeshi La polisi @policetanzania Kuwasaidia Kufanikisha Kumpata Ndugu/jamaa/Baba Yao KIN/CID/PE 1.68 / 2023 JALADA LA UCHUNGUZI 12.12.2023 DYB / RB / 7972 / 2023

TAARIFA

Mwenye Taarifa yoyote Tafadhali wasiliana kwa Namba: 0713437374 Au 0683520687

MWENYEZI MUNGU ABARIKI NDUGU YETU MUSA MZIBA APATIKANE AKIWA SALAMA.
@policetanzania @ikulumawasiliano

View attachment 2842686View attachment 2842687
Utekaji umeanza tena!
 
👍...!
Polisi ianzie hapa.
Exactly mkuu,but police wa wapi hawa?,hadi leo nchi haina DNA lab kwa ajili ya kusaidia hizi case, why police wategemee ofisi ya mkemia wa taifa?,mkuu hii ni cold case na nasikitika mno kwa familia yake, itakua Sawa na Mr.Saanane, Mr.Azory,families, ehe Mwenyezi Mungu wape closure hizi families zilizopotelewa na wapendwa wao
 
Jitahidi upate ile clip ,aliyoitengeneza ili Mh.Rais aione, naamini atakua ameiona na anafanya utafiti kujua ukweli upo wapi, President Magufuli angeshatoa uamuzi kuhusu ukweli wa hili, ila tusubiri serikali itatamka nini
Unaweza ntumia link pm nicheki

Ova
 
Jitahidi upate ile clip ,aliyoitengeneza ili Mh.Rais aione, naamini atakua ameiona na anafanya utafiti kujua ukweli upo wapi, President Magufuli angeshatoa uamuzi kuhusu ukweli wa hili, ila tusubiri serikali itatamka nini
Ila jamaa anashugulika na biashara gani labda

Ova
 
Back
Top Bottom