Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Endapo Kama kweli huyo aliyetekwa ndio huyu kwenye video basi ndugu zake wasahau, kwa sababu kaharibu sana ugali wa watu. Kwa nchi ya Tanzania na Afrika yote kwa ujumla, huwezi kuwa mkweli na muwazi namna hii halafu uendelee kubaki salama, hii haiwezekani, that's why in our country there are so many "snakes in suits."
Duh! Mkuu tupaze sauti apatikane, tusihalalishe kupotea kwake kupitia jukwaa hili. Kwa umoja wetu tupaze sauti apatikane akiwa hai!!! #Free Mziba#
 
Mkuu usipre-empt hatima yake, ni mapema mno bali tupaze sauti zetu kwa ummoja wetu humu ndani ili apatikane akiwa hai! Maana leo ni yeye kesho itakuwa wewe!
Upo sahihi kabisa mkuu, nilitegemea TRA nao wangetoa tamko lako kuhusiana na issue hii, wanapokaa kimya wanaacha vacuum ambao inajazwa na ukweli au uongo
 
Ndugu MUSA VENERABLE MZIBA mfanyabishara mwenye umri wa miaka 37 anaemiliki Kampuni ya Mzibaz Empire Investments Ltd amechukuliwa na watu wasiojulikana Tar: 07 Desemba mida ya Saa 2 Usiku, akiwa maeneo ya ofisini kwake Mikocheni.

Familia Inaomba sana Msaada kwa Jeshi la Polisi Tanzania kuwasaidia kufanikisha kumpata ndugu/jamaa/baba yao KIN/CID/PE 1.68 / 2023 JALADA LA UCHUNGUZI 12.12.2023 DYB / RB / 7972 / 2023

TAARIFA

Mwenye taarifa yoyote tafadhali wasiliana kwa namba: 0713437374 au 0683520687

MWENYEZI MUNGU ABARIKI NDUGU YETU MUSA MZIBA APATIKANE AKIWA SALAMA.

View attachment 2842686View attachment 2842687
Nchi inapitia gizani tangu uteuzi wa kijana yule.
 
Wake za watu hao wamemponza. Yupo humu JF kwa I'd ya mzabzab inayojisifu kwa kutembea na wake za watu na kuwaambukoza UKIMWI kwa Makusudi hapa Jijini Dar. Sasa jamaa wamemteka na wanamfumua Marinda sasa na ndio maana ID hiyo haipo active huki JF. 😆😁😄😃😀
 
Wake za watu hao wamemponza. Yupo humu JF kwa I'd ya mzabzab inayojisifu kwa kutembea na wake za watu na kuwaambukoza UKIMWI kwa Makusudi hapa Jijini Dar. Sasa jamaa wamemteka na wanamfumua Marinda sasa na ndio maana ID hiyo haipo active huki JF. 😆😁😄😃😀
🤣🤣🤣🤣 Aisee kweli hamnitakii mema jamani but why.
 
No mkuu huyu ni wale wazalendo ambao awamu iliyopita angesikilizwa na kuupata ukweli, huyu ni whistle-blower for now hadi TRA waje na story kuhusu hili kwa upande wao, for now TRA wanajua huyu mzalendo yupo wapi
Ramadhani Ntunzwe Mzalendo Mfanyabiashara alililamika kesi kama hii pale Ikulu kwa JPm na Kesi yake ilisimamiwa na PM Majaliwa, RC Makonda na Katibu MKuu kwenye korido za Ikulu na hakuna kilichofanyika.

Ramadhani Ntunzwe anaelezea kwenye clip yake kuwa anashangaa kuona Vigogo wa TRA wana nguvu kubwa na hawagusiki na mtu yeyote.

Naishia hapo.
 
Back
Top Bottom