Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Musa Venerable Mziba hajapatikana. Polisi waombwa msaada

Hajatapeli. Alitoa clip akiilaumu TRA haitaki kumpa documents Fulani ili akalipwe na Bima. Na alitoa clip hiyo ili Rais wa Nchi aione.
Hata yule mfanyabiashara mwingine wa huko Kigoma ambaye aliilalamikia TRA kumpora bidhaa zake kule mpaka wa Tunduma naye ilisambazwa taarifa miezi michache iliyopita kwamba eti 'amejipiga risasi na kufa'
 
Walimuua watu wakatili sana wanawaua walipa kodi harafu tupo kimya na kujifanya wanafiki kukemea ukatili wa Wazulu...
 
Wananchi tumekuwa kama nyumbu ndani ya Manyara. Ukilala leo hujui kwesho litampata nani na raia tunaona kama ni kawaida tu. Kweli ujinga ni janga.
You what bad, wananchi hao hao watalalamika, zitapota skendo au mechi za simba na yanga watasahau kila kitu.

Badala waungane kwenye hili, wao wako bize na mambo mengine
 
20241207_130956.jpg
 
Back
Top Bottom