Blah blah, police gani hao niwapelekee taarifa?,hadi leo police wako wameshindwa kunipa taarifa nani alihusika kwa kumpiga risasi dada Akwilina na kumuua, viroba vya maiti pale CoCo beach, Azory Gwanda, ajali ya Mtikila, etc etc, elewa ni wajibu wa police kisheria kulinda raia, sasa ninapoona kwa makusudi mazima wao wanalinda royal families tu na kuwaacha poor of the poorest, nawachukia mno, na elewa cases zingine na wao ni suspects, ndio maana ninahitaji katiba mpya itakayounda chombo mbadala cha kuchunguza cases zote ambazo police ni suspects (IPID),endelea kuzika kichwa chako mchanganyi na kujifanya hujui kinachotokea kwa neighbor wako