Musa Zungu aibu yako kuhusu tozo za miamala

Izia maji

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,997
Reaction score
5,385
Nakumbuka wewe ndiye ulishikia bango la tozo za miamala ya simu. Ukashawishi serikali na bunge kuanzisha tozo hizo bila kujali maisha duni ya Watanzania wengi huku ukiweka mbele maslahi yako binafsi! Hivi ulidhani wote wanauza madawa ya kulevya na kupata vipato haramu kama wewe.

Sasa serikali imegundua unafiki wako na kuamua kuifuta kuanzia leo. Maana serikali imegundua kuwa tozo hizo hazijaleta manufaa yo yote zaidi ya kuwaumiza walala hoi!

Aibu yako Zungu!
 
wote wle ni waarabu
 
Huyu hatakiwi kurudi Bungeni
 
Ni nan aliekwambia CCM hua wana aibu?
 
Yeye ndio Raisi wa nchi? Acheni ujinga mface Raisi hii inamuhusu yeye na sio Zungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…