donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
niaje ndugu zangu? Hope kila mtu yupo safi. Ebana kuna rafiki yang mmoja anaface tatizo ambalo nimeona niliwasilishe hapa Jf kwa ushauri. Unajua issue ikoje? Huyu rafiki yang amefall in luv kwa mdada mmoja ambaye kwa kiingereza wanawaita Tomboy yaan msichana mwenye matendo ya kiume. Hakyanan huyu dada cjawah kuona,ni mzur kwa kwel lakn tatzo lakujifanya gangsta au tomboy ndo linamkosesha raha jamaa wang. Kwa wanaomfaham inasemekana hata shule ilikua nadra kuvaa sketi,yan kutwa utamkuta kala mikato ya kiume af hana story na wasichana wenzake kabisa zaidi ya wanaume. Halaf kibaya zaid hafagilii kabisa ishu za malavidavi. Sasa jamaa wangu yuko njia panda hajui hata aanzie wapi!