MuSAADA KWA HII BA MUTU!

MuSAADA KWA HII BA MUTU!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
niaje ndugu zangu? Hope kila mtu yupo safi. Ebana kuna rafiki yang mmoja anaface tatizo ambalo nimeona niliwasilishe hapa Jf kwa ushauri. Unajua issue ikoje? Huyu rafiki yang amefall in luv kwa mdada mmoja ambaye kwa kiingereza wanawaita Tomboy yaan msichana mwenye matendo ya kiume. Hakyanan huyu dada cjawah kuona,ni mzur kwa kwel lakn tatzo lakujifanya gangsta au tomboy ndo linamkosesha raha jamaa wang. Kwa wanaomfaham inasemekana hata shule ilikua nadra kuvaa sketi,yan kutwa utamkuta kala mikato ya kiume af hana story na wasichana wenzake kabisa zaidi ya wanaume. Halaf kibaya zaid hafagilii kabisa ishu za malavidavi. Sasa jamaa wangu yuko njia panda hajui hata aanzie wapi!
 
sasa kama mtu mwenyewe yupo hivyo anatafuta nini hapo wakati wasichana wapo wengi tu!lkn mtoto akilia wembe mpe,
 
ashamweleza nia yake au anaogopa muonekano wake tu!
 
Huyo jamaa inabidi atafute mwanamke mwingine, maana uhusiano unamuumiza kichwa kabla hajauanza.
 
sasa kama mtu mwenyewe yupo hivyo anatafuta nini hapo wakati wasichana wapo wengi tu!lkn mtoto akilia wembe mpe,

wschana weng lakini moyo wa mtu fumbo kwa mwengine. Kipendacho roho mkuu
 
Mwambie awe makini aisje akawa amekutana na SHEMALE, hahahahah! Ameshamenya chombo? aangalie bwana kama si SHEMALE basi amvumilie si unajua ukipenda boga unapenda na ua lake bwana. Or else ale kona mapema atapata tu msichana mwingine
 
kwel mkuu,maana shemale msala
 
hahhaha, basi mi sichomoki hapa.ntabanana hapa hapa )🙂🙂

mmmhhhhh
haya bana lakini sarakasi ni kote kote my dear..
mshindi lazima awe juuu... are u still in??
bado unataka kubanana?? hahahh lol
 
Mmmhh vijana wa siku hizi.... huko nyuma hawakuwa hivi!!!!
 
avatar30433_6.gif

wababu wenyewe hawakuwa hivi )🙂🙂:
 
Ha ha ha ha jamani wanaume nyie hamtuliiii wa nini sasa wakati ushaanza kuumia kabla
 
Back
Top Bottom