Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He might deserve it but he is clever enough to know that the ICC thing will not allow him to live his dreams---- is this true...!!?? Uhuru deserves the presidency.... i'm shocked... i will be back...
--- confirming....!!!
---- is this true...!!?? Uhuru deserves the presidency.... i'm shocked... i will be back...
--- confirming....!!!
He might deserve it but that does not necessarily mean he will get it. Why the shock?
Tofauti na Mudavadi ,Uhuru kapigana hadi kufikia hapo alipo,na Uhuru yu tofauti na watoto wa vizito wengine/maraisi wengine ambao baba zao huwabeba yeye anajibeba mwenyewe ni kama vile RAO,tatizo linalomukabili Uhuru ni ukabila na kabila lake na wale wazee wenye nchi(Mt Kenya mafia)hao ndio wanahofia majani ya chai na maua kupigwa ban,kwa ufupi wanajijali wao na si wananchi wa Kenya.Kwa Mudavadi ni aibu aliingizwa mukenge na hao MT Kenya mafia kuwa atoke ODM na atapewa uraisi mezani(wengi walisema Mudavadi ni project kutoka ikulu ya Mwai)alipokuwa ODM alitaka uchaguzi wa haki kutoka mashinani,sasa huko kwenye Jubilee hataki uchaguzi anaona ana haki ya kupewa ushindi wa mezani,hapana kwa hilo Mudavadi na Waluhya wenzake wamenoa,aende kwa debe,tena Uhuru yuko fair sana Mudavadi anataka kulia kivulini wakati wenzake wametoa jasho,watu walisema tamaa ilimponza fisi Mudavadi angebaki ODM angeambulia hata umakamu kuliko hivi sasa ambapo yupo njia panda
Kaka tsunami imegeuka sasa inaelekea kumpotelezea MM na tamaa zake,chezea Kikuyu wewe,eti uletewe ugali mezani bila kuutolea jasho,huo si uanaume,kwa mwafrika ni aibu kutaka kila kitu upewe bure,mwisho unakosa uanaumeKhabari zilizonifikia saa hii zinaonyesha ya kuwa Uhuru Muigai Kenyatta ameamua kwa hiari yake kumwachia Mudavadi kuwa Raisi wa Kenya wa nne kutokana na nguvu ya muungano wao kuonyesha watashinda katika raundi ya kwanza bila ya kujali kati yao nani atakuwa mgombea tajwa.
Vilevile uhuru amepata mashinikizo kutoka kwa wafanyabiashara wakubwa nchini Kenya kumwachia Mudavadi kwa sababu ya "stability" ya kenya................kwa maana ya kuwa kama Uhuru na Rutto wote wakitiwa hatiani na hague au hata kuhudhuria kesi hiyo inaamaana nchi itakuwa mikononi mwa nani?
Jingine ni kuwa Uhuru atapenda akumbukwe kuwa alijitoa mhanga kuruhusu kenya kwa mara ya kwanza kuwa na Raisi na Makamu wake kutoka makabila mengine isipokuwa wakikuyu..........................if this is true.........what an enduring legacy to bequeth a nation known as an amalgamation of African primitive tribes..........
It seems Muigai is the most powerful kingmaker in this Kenyan election....................
Waliotarajia ya kuwa Tinga atakuwa Raisi ni vyema wakaanza kuandika maumivu makali maana makabila yanayomkubali Raila hayana wapigakura wa kushindana na wimbi la Tsunami la Uhuru Muigai Kenyatta................................tuwape pole................kwa maumivu
Leaders prop Mudavadi as compromise candidate
JISOMEE:
Something very wrong with the way politicians deal with forthcoming elections in Kenya. It looks like groups of different interest pursue the agenda of stabbing each other's backs. Why that? Kwanini Uhuru anakimbizana huku na huku? Kuna tatizo gani?