Nasumbuliwa na tatizo la kubanwa msuli kunakoambatana na maumivu makali na hii hutokea nikiwa nimepumzka kitandani au popote ilianza mguu mmoja now Ni miguu
Hali hii hunipa maumivu makali Sana msaada wa tiba na ushaur unahitajika
Sent using
Jamii Forums mobile app