M mhondo JF-Expert Member Joined Apr 23, 2011 Posts 968 Reaction score 354 Feb 1, 2013 #1 Rais Yoweri Museven wa Uganda anapendekeza watu wanaofikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa wasipewe dhamana ili kukabiliana na vitendo vya rushwa. Je na sisi tunaweza kuiga hilo?.
Rais Yoweri Museven wa Uganda anapendekeza watu wanaofikishwa Mahakamani kwa makosa ya rushwa wasipewe dhamana ili kukabiliana na vitendo vya rushwa. Je na sisi tunaweza kuiga hilo?.