GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
Kama Waafrika lazima tusimame kidete kulinda maslahi yetu.. Hii mijitu meupe umetuona sisi mdebwedo sana wanajipigia tu ***** zao
Museveni amefanya jambo la busara, hizo 'tax concessions' na 'exemptions' huwa wanazipata tu huku Afrika na Asia. Hii ndio mbinu ambayo hizi kampuni kupe huwa zinaitumia kufaidi kwa migongo yetu sisi waafrika. Alafu mjadala kwenye uzi huu nauona unaendelea kiustaarabu sana. Hamna cha matusi wala nini, offcourse the usual suspects bado hawajawasili.