Wewe ndiye umekosa umakini..Hakuna mradi ambao umepewa wakati mkubwa wa matayarisho kama huu..Kasi ya JPM haipo kama ya mzee Museveni, mradi wa $3bn miaka tatu bado mabishano? Mda huo huo JPM amesha anza miradi miwili ya jumla $7b (Stiglers + SGR)
Uzembe wa Uganda usifikirie ni umakini, wamezembea hadi wamepitwa na kenya kuuza Mafuta nje japo waliyagundua miaka 10 kabla ya kenya