Museveni akubali kukaa meza moja na wapinzani

Kama chadema walivyolegea baada ya kupigwa bao
 
Na ndiyo maana kaamua kukubali yaishe ili hata akitoka wasimtie kitanzini
Waganda wana uwezo wakumondoa Museven mda wowote zaidi ya 70% hawamtaki, anatumia nguvu nyingi kuendelea kutawala hiyo nchi.....lakini siku zake zina hesabika, watamondoa tu.
 
Waganda sasa wana nyundo ya kilo 10 iliyo nunuliwa kutoka Marekani na Bobie wine alivyokwenda kwenye matibabu
Kotapini uondolewa kwa nyundo
 
Na ndiyo maana kaamua kukubali yaishe ili hata akitoka wasimtie kitanzini
Hanusuriki, waganda watamsulubu tu.....kafanya Mengi hasa kuchoma royal tombs za Clan ya waganda hawawezi kumsamahe labda afe tu.
 
Kufuatia mbinyo mkali wa wapinzani mataifa makubwa nchini uganda kumemfanya rais Museni kukubali kukaa meza moja na wapinzani kuamua jinsi ya kuitawala Uganda.
Ulimsikia aliyowaabia wapinzani wake?
 
Wacha alipe kwa aliyo yafanya kwa jeuri ya kulindwa na mizinga na vifaru
Hanusuriki, waganda watamsulubu tu.....kafanya Mengi hasa kuchoma royal tombs za Clan ya waganda hawawezi kumsamahe labda afe tu.
 
Duuh...! Amsemaje mnyika mkuu? Au niifuate wapi hiyo?
 
Museveni anazidi kuchoka physically, jua naona linamzamia. Sio muda mrefu ataiacha Uganda.
Boss hawa wamejiandaa kuliko unavyofikiri mtoto wa museveni aliemzalia hapa dar anaitwa mohoozi Kainerugaba ni meja general trained in sandhurst uingereza na mwenzake Slim wakwake anaitwa Ivan ame train west point marekani hivyo ni vyuo bora vya kijeshi duniani.hao wanapooza mambo yakiwa joto ila kwa kugeuka hawakawii
 
Walijiandalia watu wa kuwashika mkono
 
Kusoma Sandhurst sijui West point sio hoja, hata watoto wa Saddam, Gaddafi na Mubarak nao waliandaliwa vile vile lkn yaliyotokea tunafahamu. History favours nobody forever.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…