Nyamtala Kyono
Senior Member
- Sep 23, 2010
- 163
- 34
Kivipi? hapo kwenye nyekunduLeo katika ikulu ya nairobi,kenyatta alikuwa ana saini mkataba wa ujenzi wa reli na china kutoka mombasa,nairobi,uganda mpaka rwanda. Maraisi wa cow wote walikuwepo. Tanzania iliwakilishwa na membe,nilimuona kwa mbaali akijichekelesha. Sikumuona rais wa burundi pia.
Katika kusema chochote,raisi museveni alisema anamshukuru kenyatta kwa kuwa mwana afrika mashariki wa vitendo na sio kwa maneno. Akanukuu biblia akisema "mtawajua kwa matendo na sio maneno".
Kwangu mimi naona si tu amemrushia dongo jk bali na kwa nchi yetu.
Karibuni tujadili
Ukweli mchungu, sie mijiongozi yetu imekalia ufisadi tuu
cjui hii nchi yangu ina viongozi gani bajeti yenyewwe ni hewa dah naumia jmn maan hilo dili lilikuwa letu la kujenga reli baada ya kagame kuona jk plana yk kuwa kwny makaratasi akibadi aforce kenya
cjui hii nchi yangu ina viongozi gani bajeti yenyewwe ni hewa dah naumia jmn maan hilo dili lilikuwa letu la kujenga reli baada ya kagame kuona jk plana yk kuwa kwny makaratasi akibadi aforce kenya
Hiyo reli ya akina Uhuru Kenyatta itatusaidia sana sisi watanzania wa kanda ya ziwa kuwatisha mizigo yetu Mombasa maana gharama za malori toka Dar ni kubwa sana sisi