Museveni amsifu Kenyatta kwa kuwa mtu wa vitendo zaidi

Museveni amsifu Kenyatta kwa kuwa mtu wa vitendo zaidi

Sera zetu sio nzuri kwani tuna mipango isiyotekelezeka kama wanakaa bungeni kujadili pesa ya bajet ambayo hawana unategemea nini zaid ya blah blah na ahadi kibao, Uhuru hii reli kaiplan mwaka jana tu na leo mambo yameiva huku anajaribu kuneutralize Sudan kusin ili kutulie kwani anajua tafanya nao biashara sana
 
Dah. Nilifikiri ni mimi tu nililoliona hili! Mimi huwa sikosi gazeti la East African every saturday! Aisee kama jana hadi roho ikauma, projects zi maendeleo zinavyokua implemented Kenya ni noma. Kila ukisoma ni signing of such and such a project, ukija habari za bongo ni ufisadi na the government "PLANS".
Kenya wanajenga ile silicon city, sisi udom tu hapo majanga!
Hawa jamaa in 10 years watakua wanachuana na SA.
 
Sisi jamaa yetu anakazana na kusema toka uhuru tumeongeza barabara za lami, ongezeko la foleni ni maendeleo.
Watanzaniani tuchagueni mtu ambaye ataogopeka na kuheshimika! Hata kama wewe unamwogopa ndio vizuri!
Hakuna kiongozi atakaye demand respect na obidience kama Edward (ni onavyo mimi).
Mkiwaangalia vizuri Kagame na Kenyatta sio watu waporojo, na wanamponda kikwete sana sababu bado ni wa longolongo. Tukubali huyu wakwetu hana IQ ya leadership kuringanisha na hao jamaa! Like it or not, the 2 Ks mean business. Jamaa yetu sijui hata kwanini alipigania uraisi aisee.
 
ILA KWA KWELI jk NI MSANII ACHENI UTANI eeh!
 
Back
Top Bottom