Dah. Nilifikiri ni mimi tu nililoliona hili! Mimi huwa sikosi gazeti la East African every saturday! Aisee kama jana hadi roho ikauma, projects zi maendeleo zinavyokua implemented Kenya ni noma. Kila ukisoma ni signing of such and such a project, ukija habari za bongo ni ufisadi na the government "PLANS".
Kenya wanajenga ile silicon city, sisi udom tu hapo majanga!
Hawa jamaa in 10 years watakua wanachuana na SA.