Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, Oktoba 20, 2026, katika nafasi yake kama Amiri Jeshi Mkuu, alimtunuku rasmi mjukuu wake, Ruhamya Kainerugaba, cheo cha Luteni Usu (Second Lieutenant) katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF).
Hafla hiyo ya mahafali ya kijeshi (Professional Intake 09/2026) ilifanyika katika Chuo cha Kijeshi cha Uganda kilichopo Kabamba, wilayani Mubende.
Nchi hii ni mali ya familia yangu. Nyinyi Waganda wooooote ni vibarua wa familia yangu.
Mtiini mjukuu wangu