Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Museveni ana hali ngumu. Tumsadieni jamani

Mods mnamwacha huyu mpumbavu analeta Uzi wa kijinga hapa?kwa hiyo unataka Tanzania ipeleke jeshi kuua raia wanaodai haki zao? jinga kweli wewe boya,nguvu ya umma inazidi jeshi la nyuklia,museveni ataondoka kisha atafuatia Dikteta Magufuli.
Umeanza vizuri ukamaliza vibaya sana aisee akiri za nyumbu hizi.
 
Hebu ficha upuuz wako basi....
wewe ndiyo unaweza ukawa mpuuzi nafanya biashara kati ya south africa na uganda nipo uganda mwaka wa kumi sasa amin nikuambiacho, uganda yatawakuta yaliyo wakuta walibya itakuwa ni tela tu, vita ya ukabila itapigwa sana hapa wanyankole wote watapata tabu sana acha wasamia walulu na wadama
 
m77.jpg

Mzee usijali tuko bega kwa bega.
 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani Na Masikioni
 
Tatizo la nyinyi wanachuo huwa hamtofautishi kati kati ya shida zenu binafsi na amani kwa mfano pedi zimeisha hapo dukani unaanza kusema nchii hii bhana haina amani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamng'oe tu huyo kichaa! Nchi za Afrika Mashariki tawala zote ni za hovyo isipokuwa Kenya tu.
 
I salute you Museveni,tulikuwa wote kwenye vita vya FRELIMO, tulikuwa wote kwenye vita vya NDULI IDDI AMIN DADAA,umetupa BOMBA la mafututa ulikuwa mwalimu hapa Moshi Kilimanjaro.
military-clipart-salute-18.jpg
 
Back
Top Bottom